Ticker

7/recent/ticker-posts

JOKATE 'AWAKIMBIZA' WAJAWAZITO KOROGWE

Mama wajawazito leo wamekimbia mbio za Mamathon zilizoandaliwa na Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Jokate Mwegelo.

Mbio hizo zilikuwa ni za kilomita moja na zimeishia kwenye viwanja vya Shule ya Msingi Mazoezi Manundu, mjini Korogwe.

Mbio hizo ni zilikuwa maalumu kwa ajili ya kuwasaidia Wajawazito kuweza kujifungua salama.

Mgeni rasmi kwenyebmbio hizo zilizofanyika leo ni Mwenyekiti wa UWT Taifa Mary Chatanda.




Post a Comment

0 Comments