Ticker

7/recent/ticker-posts

RAIS SAMIA AENDELEA KUBORESHA HUDUMA ZA AFYA DAR ES SALAAM

Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ametoa vifaa tiba vyenye thamani ya shilingi milioni 691 kwa majimbo 10 ya Mkoa wa Dar es salaam. Vifaa hivyo ni mpango wa serikali kutumia kiasi cha shilingi bilioi 14.9 kwa ajili ya kusambaza vifaa tiba kwenye majimbo yote 214 nchini. Rais Samia ameendelea kufanya uwekezaji mkubwa katika sekta ya afya hususani huduma ya mama na mtoto lengo likiwa ni kupunguza vifo vitokanavyo na uzazi pingamizi.

Post a Comment

0 Comments