Lakini nilipotoa nyimbo nimevaa cheni na nacheza kama ninavyoonekana kwenye hizi video zangu mpya nyimbo hizo zimenitambulisha na hata nyie mlizipenda sana, sasa mnatakaje?"
"Mnataka niendelee kuimba nikiwa kwenye uzamani nyimbo zibume? Na mkumbuke kuwa mimi ndiye nilianzisha hii style mpya ya kucheza na kuvaa kujanja kwenye miziki ya Injili embu nipeni heshima yangu tafadhali"- Goodluck Gozbert
0 Comments