Ticker

7/recent/ticker-posts

RAIS SAMIA ASHIRIKI MKUTANO WA COP28 DUBAI

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan leo anatarajiwa kushiriki kwenye Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadikiko ya Tabianchi (COP28).

Raid Dkt. Samia ameondoka nchini jana Novemba 30,2023, ambapo aliagwa na   Waziri Mkuu Kassim Majaliwa pamoja na viongozi wengine wa serikali na vyombo vya Ulinzi na Usalama katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salam leo.


Post a Comment

0 Comments