Ticker

7/recent/ticker-posts

IHEFU YAACHANA NA KOCHA WAKE

Timu ya soka ya Ihefu imetangaza kuvunja mkataba na Kocha wao Mganda, Moses Basena.

Uongozi wa timu umemshukuru Kocha Basena kwa wakati wote aliokua nao ndani ya timu kama Kocha Mkuu na imemtakia kila la heri katika maisha yake mapya ya soka.

Ihefu haina mwenendo mzuri kwenye Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara, tangu iifunge Yanga, imecheza michezo nane bila ushindi.

Post a Comment

0 Comments