Ticker

7/recent/ticker-posts

SPIKA WA BUNGE APONGEZWA NA MAMA YAKE KWA KUSHINDA IPU

Hakuna kama mama, Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) ambaye pia ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Mbeya mjini Dkt. Tulia Ackson, amemtembelea mama yake mzazi Bi.Nkundwe Mbonile.

Spika Dkt. Tulia alipewa baraka na mama yake,  kwa kumpakata lengo likiwa ni kumpongeza  kwa ushindi wa Urais wa IPU baada ya kumtembelea nyumbani kwake Rungwe Mkoani Mbeya leo Novemba 12, 2023.

Post a Comment

0 Comments