Ticker

7/recent/ticker-posts

KOCHA WA PSG ALIA NA MBAPE

Pamoja na PSG kushinda bao  3-0 dhidi ya Reims katika dimba la ugenini na mshambuliaji Kylian Mbappé kutupia mabao yote matatu, bado kocha Mkuu wa klabu hiyo Luis Enrique hakufurahishwa na kiwango cha nyota huyo. 

"Sina furaha sana na Kylian leo".

"Sina la kusema kuhusu mabao lakini tunataka  zaidi kutoka kwa mchezaji wa kiwango cha juu kama Mbappé".

"Anaweza kuisaidia timu zaidi, kwa njia tofauti.  Yeye ni mmoja wa wachezaji bora zaidi ulimwenguni, tunataka zaidi.

"Nitazungumza naye, nitakachomwambia ni siri na sitasema hadharani."

Post a Comment

0 Comments