Ticker

7/recent/ticker-posts

SPIKA DKT. TULIA AIPELEKA IPU MBEYA, APOKELEWA KWA SHANGWE KUBWA

RAIS wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) ambaye pia ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Mbeya Mjini, Dkt. Tulia Ackson, amelakiwa na kusalimia na wananchi waliojitokeza katika Uwanja wa Ruanda Nzovwe Jijini Mbeya waliojitokeza kumpongeza baada ya kushinda Urais wa IPU kama wanavyooneka mjini humo jana  Novemba, 11, 2023.




Post a Comment

0 Comments