Ticker

7/recent/ticker-posts

MAKONDA AMTEMBELEA WAZIRI MKUU DODOMA

Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Itikadi na Uenezi, Ndugu Paul Makonda, leo Novemba 2,2023 amemtembelea Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ofisini kwake jijini Dodoma.

Pamoja na mambo mengine Waziri Mkuu na Makonda walipata muda wa kuzungumzia masuala ya utekelezaji wa Ilani ya chama kwa ufanisi zaidi.



Post a Comment

0 Comments