Ticker

7/recent/ticker-posts

BEKI WA WYDAD CASABLANCA AFARIKI DUNIA

Klabu ya Wydad Casablanca ya Moroko  imetangaza kufariki dunia kwa beki wake wa kushoto,Oussama Faloh. Kifo chake kilitokea jana Novemba 2,2023 akiwa hospitalini alipokuwa akipatiwa matibabu.

Faloh amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 24 na alisajiliwa na Wydad Casablanca  katika dirisha kubwa la usajili lililopita akitokea klaabu ya Angers inayoshiriki Ligi Kuu nchini Ufaransa.

 Wiki tatu zilizopita alipata ajali ya gari iliyomsababishia sehemu ya mwili wake kupoteza uwezo wa kufanya kazi, alipelekwa hospitali kwa ajili ya matibabu zaidi na hatimae jana umauti ulimfika.


Roho yake ipumzike kwaa amani| Amina

Post a Comment

0 Comments