Ticker

7/recent/ticker-posts

BASI LAGONGA TRENI MANYONI, 13 WAFARIKI DUNIA

​WATU 13 wamefariki dunia na wengine 25 wamejetuhiwa kwenye ajali ya basi la Kampuni ya Ally's Star lenye namba za usajili T 178 DVB linalofanya safari zake kati ya Dar es Salaam na  Mwanza kugonga treni ya reli ya Kati.

Ajali hiyo imetokea alfajiri ya leo katika eneo la Manyoni mkoani Singida.


Post a Comment

0 Comments