Ticker

7/recent/ticker-posts

VIKAO VYA BUNGE VYAANZA LEO DODOMA

Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wameanza vikao vya Mkutano wa 13 Kikao cha kwanza leo Oktoba 31 Jijini Dodoma.

Pamoja na shughuli nyingine zilizopangwa kufanyika katika mkutano huu wa wiki mbili, Wabunge wanatarajiwa kujadili mapendekezo ya Tanzania kujiunga na Mkataba wa wakala wa kimataifa wa nishati Jadidifu na azimio la Bunge kuridhia mkataba wa kuanzisha Taasisi ya Dawa ya Afrika. 

Post a Comment

0 Comments