Ticker

7/recent/ticker-posts

MBUNGE WA MBARALI AAPISHWA RASMI

Mbunge wa Mbarali, Bahati Ndingo akila kiapo cha Uaminifu mbele ya Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson wakati wa kikao cha Bunge leo Oktoba 31 Mjini Dodoma. 

Bahati alitangazwa na Tume ya Uchaguzi kuwa mshindi wa nafasi hiyo Septemba 20 mwaka huu mara baada ya kufanyika kwa uchaguzi mdogo  kufutuatia kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo, Francis Mtega.




Post a Comment

0 Comments