Ticker

7/recent/ticker-posts

TRA YAWAPA DARASA LA ULIPAJI KODI WAANDISHI WA DAR ES SALAAM

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) leo Oktoba 25,2023 imetoa elimu ya Kodi kwa Wanachama wa Chama Cha Waandishi wa Habari Mkoa wa Dar es Salaam (DCPC).

TRA imetoa darasa la matumizi sahihi ya mashine za EFD na matumizi ya stempu za Kodi za Kielektroniki ETS katika bidhaa mbalimbali.

TRA imetoa elimu hiyo kwenye Mkutano Mkuu wa wadau wa Habari mkoa wa Dar es Salaam ambao unakwenda pamoja na mkutano Mkuu wa  mwaka wa DCPC.




Post a Comment

0 Comments