Ticker

7/recent/ticker-posts

SAUDI ARABIA YATANGAZA DAU NONO KWA WAAMUZI WA ULAYA WATAKATAKA KUCHEZESHA LIGI YAO

Shirikisho la Soka nchini Saudi Arabia lipo tayari kuwalipa waamuzi wa ULAYA zaidi ya euro €3,000 kwa kila mchezo ikiwa watakubali kwenda kusimamia mechi za Ligi Saudi Arabia.

Wastani wa malipo ya waamuzi katika ligi 5 kubwa barani Ulaya kwa mwaka hupata karibu ni euro €139,000, wakati ofa ya Saudi Arabia itawafanya kupata takribani euro €347,000.

Chanzo: The Times)

Post a Comment

0 Comments