Ticker

7/recent/ticker-posts

KATIBU WA NEC, SUKI CCM AANZA KAZI KWA KASI

Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Ndugu Rabia Abdallah Hamid amekabidhiwa Ofisi rasmi jana Oktoba 25,2023 na  aliyekuwa Mkuu wa Idara hiyo, Ndugu Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk ambaye ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Uhusiano wa Afrika Mashariki.

Makabidhiano hayo yamefanyika katika Ofisi za CCM Makao Makuu jijini Dodoma na Rabia alianza kutekeleza majukumu yake hayo mapya kwa kasi.


Post a Comment

0 Comments