Ticker

7/recent/ticker-posts

BALOZI WA UINGEREZA ATEMBELEA MAZOEZI YA TIMU YA SIMBA

Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, David Concar leo Oktoba 31,2023,ametembelea mazoezi ya timu ya Simba yanayoendelea kwenye uwanja wa Mo Simba Arena uliopo Boko, jijini Dar es Salaam na kukutana na wachezaji pamoja na benchi la ufundi.

Simba iko kwenye maandalizi ya mcjezo wake wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Yanga unaotarajiwa kuchezwa Novemba 5,2023 kwenye uwanja wa Mkapa,jijini Dar es Salaam.


Post a Comment

0 Comments