Ticker

7/recent/ticker-posts

TRA YAJITOA SAKATA LA KUFUNGWA BAA MWANZA

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeweka wazi kuwa haijahusika kwa namna yeyote ile katika kuifunga baa ya The Cask iliyopo jijini Mwanza.

TRA imewaomba wahusika na umma kuwasiliana na mamlaka husika juu ya jambo hilo.

Hatua hiyo ya TRA inakuja baada ya kusambaa kwa taarifa ya kufungwa kwa baa hiyo kutokana na kutofuata baadhi ya taratibu ukiwemo ukwepaji wa kodi.

Post a Comment

0 Comments