Katibu Mkuu wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) Alfred Lucas (kulia pichani) na Mkurugenzi wa IPRT William Kallaghe (kushoto) wakibadilishana Mkataba wa Ushirikiano (MoU) uliosainiwa baina ya taasisi hizo mbili unaolenga kutoa mafunzo ya mawasiliano kwa waandishi wa habari za michezo ili kuwajengea uwezo zaidi kuelekea mkakati wa pamoja wa taasisi hizo katika kukuza na kuendeleza michezo nchini wakati wa hafla fupi ya kusainia makubaliano hayo iliyofanyika jijini Dar es Salaam leo.
Wanaosuhudia ni wawakilishi wa taasisi hizo akiwemo Mwenyekiti wa TASWA Amir Mhando (wa pili kulia waliosimama).
0 Comments