Baada ya watoto wake kuwa mashabiki wakubwa wa mcheza miereka maarufu duniani kwenye chama cha WWE mwenye maskani yake NCHINI Marekani, Undertaker, Bilionea kutoka Saudi Arabia, Turki bin Abdul Mohsen bin Abdul Latif Al Al-Sheikh is alimlipa ili aende kwake kucheza na wanae kwa wiki nzima ili kuwafurahisha tu watoto wake.Bilionea huyo ambaye ni mshauri wa familia ya kifalme ya Saudi Arabia,Waziri wa Michezo na Burudani na pia ni mmiliki wa Almeria FC ya Spain aliahidi kuuleta mchezo wa Mieleke wa WWE nchini kwake Saudi Arabia.
0 Comments