Katibu wa NEC Itikadi na uenezi wa Chama Cha Mapinduzi Sophia Mjema ameeleza namna gani Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan anavyotekeleza maagizo ya Chama Cha Mapinduzi katika kuhakikisha vifo vya mama na mtoto vinafikia asilimia 0 % nchini kama ilivyoelekezwa na Ilani ya CCM 2020-2025 Ibara ya 83 (a).
Mjema ameeleza juu ya ufanisi wa Mradi wa Mfumo wa usafirishaji wa dharura wa wajawazito na watoto wachanga katika mikoa (14) lengo likiwa ni kuhakikisha kuwa wakina mama zaidi ya millioni moja ambao ni walengwa wanafanikiwa na kunufaika na huduma hii ndani ya miaka mitano
Ziara ya Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo inaendelea Mkoani iringa ambapo leo amewasili wilaya ya Iringa Vijijini, kufuatilia na kukagua utekelezaji wa Ilani ya CCM 2020-2025.
0 Comments