Sheikh Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar bin Zubeir
Kutokana na mwezi kutoonekana leo, mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhani utaendelea kesho na sikukuu ta Eid inatarajiwa kuwa keshokutwa Jumamosi ya Aprili 22,2023.
Taarifa hii ni kwa mujibu wa Sheikh Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakar bin Zubeir.
0 Comments