Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemteua Balozi Khamis Kagasheki kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Parole kuanzia Aprili 18,2023.
Taarifa ya uteuzi huo imetolewa leo na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Zuhura Yunus.

0 Comments