Ticker

7/recent/ticker-posts

IBADA YA KIFO YAUA 21 KENYA

Ibada ya kifo imeteketeza watu 21 waliokutwa wamekufa katika eneo la Kilifi nchini Kenya.

Imeelezwa kuwa maiti hizo ni za waumini wa Kanisa la Good News linaloongozwa na mchungaji Paul Mackenzie.

Mchungaji huyo Kwa Sasa anashikiliwa na polisi, inadawa kuwa aliwataka waumini wake wasile Wala kunywa chochote ili kutekeleza ibada ya kifo ili wafe na kisha kwenda peponi ambako watakula na kunywa vitu vizuri.


Mchungaji Mackenzie

Post a Comment

0 Comments