Ticker

7/recent/ticker-posts

DIAMOND AKARIBISHWA KWENYE UKRISTO

HATUA ya Msanii wa kimataifa kutoka Tanzania, Naseeb Abdul (Diamond Platnumz) kutinga kanisani imemuibua mcheza shoo wake Mose Iyobo kumkaribisha Boss wake huyo katika dini ya Ukristo

"Karibu kwenye dini yenye unyamwezi Bro, Mchungaji kapiga zake kokoto kama Wewe huku kwetu unaambiwa ombeni nanyi mtapewa

Wala hakuna mambo ya kutishiwa mara Ohhh kuna moto mara kuna marungu mara Ohhh kuna nyoka atakuuliza maswali we uliona wapi nyoka anaongea bro njoo kwa Yesu" ameandika Mose Iyobo.

Post a Comment

0 Comments