Ticker

7/recent/ticker-posts

RAIS SAMIA AWAACHA WAKUU WA WILAYA 37

 

Rais Samia Suluhu Hassan

Rais Samia Suluhu amewaacha Wakuu wa Wilaya 37 na kuwahamisha vituo 37 huku Wakuu wa Wilaya 55 wakisalia kwenye vituo vyao vya kazi vya awali.

Taarifa kutoka Okulu iliyosainiwa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Zuhura Yunus imeonesha mpangilio wa wakuu wa wilaya wapya, waliohamishwa pamoja na waliosalia kwenye vituo vyao vya kazi kama ifuatavyo:-



Shaka Hamdu Shaka (DC Maya)







Jerry Muro









Post a Comment

0 Comments