Ticker

7/recent/ticker-posts

RAIS SAMIA APOKEA FEDHA ZA KUWASAIDIA WAATHIRIKA WA MAFURIKO HANANG

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Desemba 10,2023 amepokea mfano wa Hundi ya Shilingi Bilioni mbili kutoka kwa Msajili wa Hazina Bw. Nehemia Mchechu kwa ajili ya kuwasaidia wahanga wa mafuriko na  maporomoko ya ardhi yaliyotokea katika Mji mdogo wa Katesh, Hanang Mkoani Manyara hivi karibuni. 

Hundi hiyo ni michango iliyochangwa na Taasisi mbalimbali za Serikali na kuwasilishwa Ikulu Chamwino jijini  Dodoma.



Post a Comment

0 Comments