Ticker

7/recent/ticker-posts

LATRA YAKAGUA MABASI USIKU

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) CPA Habibu Suluo, usiku wa Desemba 2,2023 ameongoza ukaguzi wa kushtukiza uliolenga kuangalia hali ya usafiri katika kipindi cha sikukuu za mwisho wa mwaka katika kituo cha Mabasi Magufuli na vituo binafsi vya wamiliki wa mabasi Shekilango, jijini Dar es Salaam.

Post a Comment

0 Comments