Ticker

7/recent/ticker-posts

RAIS DKT. SAMIA KUHUDHURIA MIAKA 36 YA TAMWA

​

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan antarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye maadhimisho ya miaka 36 ya  Chama Cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania -TAMWA.

Maadhimisho hayo yanatarajiwa kufanyika Novemba 28 na 29,mwaka huu, jijini Dar es Salaam.

Post a Comment

0 Comments