Ticker

7/recent/ticker-posts

NAIBU WAZIRI MKUU AKUTANA NA KADINALI RUGAMBWA

NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amefanya mazungumza na Mhasham Askofu Mkuu Mstaafu, Paul Ruzoka na Askofu Mkuu Mpya wa Tabora, Mwadhama Protase Kardinali  Rugambwa, katika Makazi ya Askofu mkoani Tabora, leo Novemba 19, 2023.


Post a Comment

0 Comments