Ticker

7/recent/ticker-posts

JOWUTA YAKABIDHI MAONI JUU YA HALI YA UCHUMI WA VYOMBO VYA HABARI NA WAAANDISHI

Chama cha Wafanyakazi wa Vyombo vya Habari Tanzaia (JOWUTA) leo Novemba7,2023 kimewasilisha maoni yake juu ya hali ya uchumi kwa vyombo vya habari na wanahabari nchini.

Maoni hayo yamewasilishwa na Katibu Mkuu wa chama hicho, Selemani Msuya na kupokelewa na Mjumbe wa Kamati hiyo  Sebastian Maganga.

Msuya aliambatana na Naibu Katibu Mkuu wa JOWUTA, Said Mmanga na Mjumbe wa Bodi ya JOWUTA, Careen Tausi Mbowe.

Makabidhiano hayo yalishuhudiwa na Mtaalam wa Kamati hiyo, Dkt Abdallah Katunzi.

Post a Comment

0 Comments