Ticker

7/recent/ticker-posts

ELIUD KIPCHOGE KUTUNUKIWA UDAKTARI WA HESHIMA KENYA

Mwanariadha wa Kenya, Eliud Kipchoge anatarajiwa kutunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa (Doctor of Humane Letters (Honoris Causa)) kutokana na mchango wake wa kuisaidia jamii.

Heshima hiyo itatolewa na Chuo Kikuu cha Kilimo na Teknolojia cha Jomo Kenyatta (JKUAT) Desemba 1 mwaka huu.

Post a Comment

0 Comments