Ticker

7/recent/ticker-posts

SPIKA WA BUNGE LA TANZANIA ACHAGULIWA URAIS WA MABUNGE DUNIANI

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson ameshinda nafasi ya urais wa Umoja wa Mabunge ya Dunia (IPI).

Dkt. Tulia amepata kura 172 akiwaacha mbali  wapinzani wake KUTOKA Malawi aliyepata kura 61, Senegal kura 59 na Somalia kura 11.

Uchaguzi huo umefanyika leo Oktoba 27,2023 nchini Angola.

Post a Comment

0 Comments