​
Rais Samia Suluhu Hassan amewasili jijini Lusaka nchini Zambia leo Oktoba 23,2023 kwa ajili ya Ziara ya Kitaifa pamoja na kuhudhuria sherehe za miaka 59 ya Uhuru wa nchi hiyo.

0 Comments