Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameitisha kikao cha dharura cha Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) kitakachofanyika Oktoba 22,2023 jijini Dodoma.

0 Comments