Ticker

7/recent/ticker-posts

DKT. TULIA KUWANIA URAIS WA UMOJA WA MABUNGE DUNIANI

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson, ni miongoni mwa wabunge wanaowania nafasi ya urais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU).

Dkt. Tulia yuko nchini Angola akishiriki Mkutano wa 147 wa IPU unaoendelea katika jiji la  Luanda. 




Post a Comment

0 Comments