Ticker

7/recent/ticker-posts

RAIS WA CONGO BRAZZAVILLE APINDULIWA

Rais wa Congo Brazzaville, Denis Sassou Nguesso.

Walinzi wa Rais nchini Congo Brazzaville wamemuondoa madarakani Rais Denis Sassou Nguesso kupitia mapinduzi ya kijeshi. 

Sassou Nguesso mwenye umri wa miaka 79 anaripotiwa kuwa alikuwa Marekani wakati mapinduzi hayo yanafanyika. Rais huyo amekuwa madarakani kwa miaka 39 na inaelezwa alikuwa akimuanda mwanae Denis-Christel Sassou Nguesso kuchukua nafasi yake. Jeshi limechukua vituo vyote muhimu katika mji mkuu Brazzaville.

Post a Comment

0 Comments