Ticker

7/recent/ticker-posts

BURNA BOY: WANIGERIA HAWANIPI HESHIMA YANGU

Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria Burna Boy amesema kuwa moja ya vitu vinavyo muuma sana ni kuona nchi yake haimpi heshima anayo stahili kutokana na namna anavyo pambana kuutangaza muziki wa Nigeria tofauti na heshima kubwa anayopewa na mataifa mengine.

Burna Boy amesema hayo kwenye mahojiano na kituo kimoja cha habari nchini Marekani kuelekea kwenye uzinduzi wa Album yake mpya inayoitwa "I Told Them" lakini pia hata kwenye moja ya wimbo wake mpya uliopo kwenye Album yake mpya unaoitwa "Thanks" aliomshirikisha J Cole amesikika akisema hivyo pia.

Chanzo: Afrobeat Ville

Post a Comment

0 Comments