Ticker

7/recent/ticker-posts

RAIS DKT. SAMIA AONGOZA VIKAO VIZITO VYA CCM DODOMA

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzib (CCM) ambae ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Halmashauri kuu ya CCM Taifa ambacho kilitanguliwa na Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Leo, Julai 09,2023 katika Ukumbi wa (White House) Jijini Dodoma.

Taarifa zaidi zinakuja.


Post a Comment

0 Comments