Ticker

7/recent/ticker-posts

CCM YAISHAURI SERIKALI KUUELIMISHA UMMA JUU YA MKATABA WA BANDARI

Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilicho kaa leo,pamoja na mambo mengine  kimeitaka Serikali kuongeza kasi ya kutoa elimu kwa wananchi juu ya uhalisia uliomo katika makubaliano ya uwekezaji na uendeshaji huo wa Bandari.

Post a Comment

0 Comments