Ticker

7/recent/ticker-posts

ISHA MASHAUZI ARINGIA MATITI YAKE, SASA HAANGALII UMRI KWENYE MAHUSIANO

Mwanamuziki nguli wa taarabu na mfanyabiashara wa chakula Isha Mashauzi amesema kufuatia kuolewa ndoa mbili na kuishia kuachika huku ndoa yake ya mwisho ikidumu kwa muda wa miezi kadhaa tu, sasa yuko  tayari kuingia kwenye mahusiano na mwanaume yeyore bila kuchagua umri.

Isha aliolewa mwaka 2009 akaachika mwaka 2010, amesema kwa sasa hana tena muda wa kuchagua na kutoa vigezo kwa mwanaume wa kuwa naye kwenye mahusiano kwasababu umri wa kuweka vigezo umepita. Amesema kwa sasa yupo tayari kuwa kwenye mahusiano na mwanaume yeyote, awe amemzidi umri au awe chini ya umri wake yote kheri, yeye anachoangalia ni upendo wa kweli. Isha amejinadi kuwa yeye bado ni mrembo na bado anatishia kwa uzuri hata asipopakaa chochote cha kupendesha ngozi yake na kikubwa anachojivunia kwenye mwili wake ni ukubwa wa matiti yake aliyojaaliwa na mwenyezi Mungu, amesema kila akiamka asubuhi cha kwanza lazima akague maziwa yake maana ya walimwengu ni mengi sasa hivi unaweza ukaamka ukakuta matiti yako yapo kwenye chungu.

Post a Comment

0 Comments