Ticker

7/recent/ticker-posts

RC CHALAMILA AANZA KAZI DAR, ATEMBELEA SOKO LA MWENGE

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila akizungumza na mdau wa soko la Mwenge, baada ya leo kufanya ziara yake ya kwanza kwenye soko hilo.

Chalamila aliteuliwa jana na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuuongoza mkoa wa Dar es Salaam, akitokea mkoani Kagera.



Post a Comment

0 Comments