Ticker

7/recent/ticker-posts

BERNARD MEMBE AFARIKI DUNIA

MEMBE AFARIKI DUNIA

Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa ambae pia aliwahi kuwa  mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe amefariki dunia mapema leo.

Membe amefariki dunia katika hospitali ya Kairuki iliyopo Mikocheni,jijini Dar es Salaam alikokuwa akipatiwa matibabu ya kifua.

Afrinews Swahili italeta taarifa zaidi

Post a Comment

0 Comments