Tunawatakieni wote Eid Mubarak, rai yetu kwa waislam na watanzania wote kwa ujumla, tuendelee kuyaisha maisha tuliyoyaishi ndani ya mwezi wa Ramadhani.
Tusikubali kuiacha toba na rehma tuliyoipata katika siku 30 ndani ya siku moja.
Ni vema leo tukajizuia kunywa vileo kupindukia hadi kusababisha kadhia kwa wengine.
Imani yetu wote kwa pamoja tutaitumia siku hii ya leo kwa amani na Upendo.
Eid Mubarak.
0 Comments