Ticker

7/recent/ticker-posts

SIMANZI YA CHIKA KWA JUMBE

Jimmy Chika (mwenye shati jeupe) akiwa na Hussein Jumbe (kulia) na Juma Kasesa kushoto.

Ameandika mwandishi mkongwe wa habari za michezo na buradani ambae pia ni mchambuzi wa muziki wa dansi nchini Jimmy Chika kuhusu fumbo la imani aliloliacha marehemu Jumbe kwake.

:Buriani swahiba Hussein Jumbe 

UMEONDOKA NA FUMBO KWANGU

Wakati akiugua wiki iliyopita alizinduka usingizini na kumwambia mkewe Mama Imma anipigie simu "Mpigie simu Jimmy Chika" mke wake alipomuuliza unataka kumwambia jambo gani? Ndipo alipoahirisha ombi hilo sijui alitaka kuongea nini,? 

Hilo litabaki kuwa fumbo lisilopata jibu pengine tutakapokutana Paradiso. Mola mpokee Mtumishi wetu. HUSSEIN JUMBE

Post a Comment

0 Comments