Ticker

7/recent/ticker-posts

TCRA YAKEMEA TAARIFA POTOFU INAYOGUSA IMANI YA DINI

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imekemea taarifa za imani za dini za kufikirika zilizosambaa hivi karibuni kwenye vyombo vya habari vya utangazaji na mitandao ya kijamii.

Ili kuepusha upotoshaji TCRA imevitaka vyombo hivyo kupokea taarifa zenye ukweli na uhakika ili kuepuka kuupotosha umma.

Post a Comment

0 Comments