Ticker

7/recent/ticker-posts

UWANJA WA AMANI SASA WABEBA VIWANGO VYA FIFA

Uwanja wa Amani Zanzibar sasa umekuwa na mwonekano mpya na wa kisasa ambao unabeba viwango vyote vinavyotakiwa na Shirikisho la Soka Duniani (FIFA).

Uwanja wa Amani ulivunjwa na kujengwa upya baada ya Rais wa Serikali ya Mapimduzi Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi kutoa maagizo uvunjwe na ujengwe upya ili kukidhi viwango vya FIFA.

Uwanja huo ni moja ya viwanja vitakavyotumika kwenye michuano ya soka ya Mataifa ya Afrika AFCON 2027 itakayo andaliwa na nchi tatu za Kenya Uganda na Tanzania.

Post a Comment

0 Comments