Ticker

7/recent/ticker-posts

RAIS SAMIA AMKABIDHI NYUMBA MJANE WA RAIS MAGUFULI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo Novemba 5,2023 amemkabidhi nyumba ya kisasa mjane wa Hayati Dkt. John Pombe Magufuli aliyekuwa Rais wa awamu ya Tano, Mama Janeth Magufuli.

Nyumba hiyo iliyopo wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam,  imejengewa kwa gharama za Serikali



Post a Comment

0 Comments