Ticker

7/recent/ticker-posts

RAIS SAMIA AHUDHURIA MAONESHO YA KILIMO CHA MBOGA MBOGA QATAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama na Amiri wa Taifa la Qatar Sheikh Tamim Bin Hamad Al-Than (wa pili kushoto kwake) pamoja na viongozi wengine wakati wa Wimbo wa Taifa wa Qatar ukiimbwa kabla ya ufunguzi wa Mkutano wa  Kimataifa wa Kilimo cha Mbogamboga na Matunda (Doha International Horticulture Expo 2023) uliofanyika Doha Oktoba,02 2023.




Post a Comment

0 Comments