Ticker

7/recent/ticker-posts

RAIS SAMIA AFANYA MAKUBWA ZAMBIA

RAIS Samia Suluhu Hassan amehutubia na kuhudhuria sherehe za miaka 59 ya Uhuru wa Zambia Jijini Lusaka jana Oktoba 24 2023.

Pia Rais Samia Suluhu Hassan ameweka shada la maua kwenye kaburi la Rais wa kwanza wa Zambia Hayati Kenneth Kaunda (Presidential Burial site, Embassy Park Jijini

leo. 

Katika hafla hiyo Rais wa Tanzania Samia Suluhu aligonganisha glass na mwenyeji wake Rais wa Zambia Hakainde Hichilema pia kukata keki wakati wa dhifa ya Kitaifa iliyofanyika Jijini Lusaka.





Post a Comment

0 Comments